• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TANZANIA IMEJIPANGA VEMA KATIKA SERA ZA UTUNZAJI MAZINGIRA........

Posted on: October 26th, 2023

Na Prisca Libaga


Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu was Rais Mary Maganga amesema Serikali ya Tanzania imejipanga vyema katika sera za utunzaji wa Mazingira kuendana na mabadiliko ya tabia ya Nchi katika Maeneo Nyeti ya kilimo na Uchumi Wa Buluu pamoja  na Maeneo yanayoathirika Sana ya Mazingira Asili ikiwemo Matumizi ya Nishati Safi.


Maganga ameyasema hayo Jijini Arusha Akifungua kikao cha Kitaifa cha Wadau wa Maandilizi ya Mkutano wa Nchi Mwanachama wa Mkataba wa kimataifa wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi ( COP28) utakaofanyika Dubai , Umoja wa Falme za Kiarabu, kuanzia November 30 hadi  December 12 2023.


Awali akiongea katika kikao hicho Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Mazingira Dkt. Omar Shajak amesema Madhumuni ya Kikao hicho ni kujiandaa kwa ajili ya Mkutano wa 28 wa Mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika nchi za Falme za kiarabu Dubai.Ambapo masuala mbalimbali yatazungumziwa ikiwa ni pamoja na Uchumi wa Buluu.


Kwa Upande wake Kaimu Mkurugenzi ofisi ya Makamu wa Rais , Mazingira Dkt. Paul Deogratius ametaja dhamira Kuu ya wajumbe hao kukutana hapa Jijini Arusha ni kamati tendaji kujadili kwa pamoja yaliyojiri kwenye kikao cha 27 ( COP27) mafanikio, changamoto na mwelekeo kuelekea COP28.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa