• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUIGE MFANO WA KABILA LA WATHEMI

Posted on: September 21st, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bwana Missaile Musa amesema amefurahishwa na kabila la Wasonjo wanavyo fanya kazi kwa ushirikiano katika kujiletea maendeleo.

Kauli hiyo ameitoa alipokuwa akikagua  miradi mbalimbali ya maendeleo katika Wilaya ya Ngorongoro.

" Natamani makabila mengine ya Mkoa huu yangeiga kama Wasonjo wanavyo fanya ya kuanzisha miradi ya maendeleo kwa nguvu zao".

Hii inatia Moyo hata kwa Serikali kuweka nguvu zaidi katika miradi hiyo kwani ikiachwa ikafa inakuwa ni hasara.

Amelitaka kabila hilo la Wasonjo waendelee kujitoa kwa hali na mali  na serikali haitawaacha,itawaunga Mkono kwa kila mradi watakaouwanzisha.

Aidha, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kuongeza kasi ya kumaliza ujenzi wa miradi ili iweze kukamilika kwa wakati na kuleta manufaa kwa wananchi.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Dkt. Jumaa Muhina amesema wamepokea maelekezo yaliyotolewa na Katibu Tawala na watayafanyia kazi kwa haraka zaidi.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kijiji cha Sale Musa Radia amesema mafanikio ya kuanzishwa kwa miradi mbalimbali kumetokana na mshikamano uliopo kwa rika mbalimbali za Jamii hiyo ya Kisonjo.

Kila rika katika Jamii hiyo imeweka utaratibu wa kuanzisha mradi ambao utaacha kumbukumbu kwa vizazi vingi ili na wao waweze kuiga kwa waliotangulia.

Jamii hiyo huwa inaangalia changamoto zilizopo katika Jamii  na kutatua kwa kuanzisha mradi husika, kama vile wamejenga Chuo Cha Ufundi VETA, Kituo cha Afya na sasa wanaendelea na ujenzi wa shule ya Sekondari.

Katibu Tawala Missaile amefanya ziara ya siku moja katika Wilaya hiyo na kukagua miradi mbalimbali ikiwemo  ujenzi wa chuo cha uwalimu, jengo la ofisi ya halmashauri,chuo cha VETA, zahanati ya Samunge, Kituo cha Afya Sale, Hospitali ya  Wilaya na ujenzi wa shule mpya.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa