Watumishi wa umma kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wakiwasili kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano AICC Arusha kwaajili ya kikao kazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa kinachofanyika leo 02 Mei, 2025.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa