• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TUTUNZE HIFADHI ZETU KWA VIZAZI VIJAVYO- DKT. PHILIP MPANGO

Posted on: May 16th, 2023

Kukamilika kwa jengo la utawala la mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro kutaongeza hamasa kwa watumishi ili waweze kufanyakazi kwa bidii na kuongeza ubunifu.

Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango alipokuwa akiweka jiwe la msingi jengo la utawala la Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro.

Amewataka wahakikishe wanaongeza mapato na kuweza kujiendesha kibiashara.

Aidha, ameitaka mamlaka hiyo kuendelea kushirikiana na jamii ili kuthibiti tabia ya ujangiri.

Vilevile, ameitaka mamlaka hiyo kuendelea kuboresha  mifugo na upatikanaji wa Maji kwa mifugo ya wananchi ili kuendelea kujenga mahusiano mazuri na wananchi.

Nae, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kukamilika kwa jengo hilo kutaongeza ufanisi wa kutuo huduma kwa watendaji .

Pia, mradi huo utapunguza gharama za uwendeshaji kwa mamlaka hiyo kwani wataweza kufanya kazi nje ya hifadhi za Ngorongoro.

Amewataka wananchi waendelee kufuata sheria, Kanuni na taratibu za uhifadhi ili kupunguza uvamizi wa maeneo ya uhifadhi.

Akisoma taarifa ya ujenzi Naibu Muhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro Elibariki Bajuta amesema ujenzi huo umefanyika kwa lengo la kupisha  uhifadhi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro uliokuwa umevamiwa na shughuli mbalimbali za kibinadamu.

Amesema ujenzi huo umegawanyika katika awamu mbili ambapo awamu ya kwanza ni ujenzi wa jengo la Utawala, nyumba ya muhifadhi pamoja na nyumba za manaibu wahifadhi ambao utagharimu kiasi cha bilioni 10.4 hadi kukamilika kwake.

Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro  kuanzia Julai hadi Aprili 2023 walipata jumla ya wageni 612,252 na malengo yao ni kupata wageni 1,200,000 ifikapo 2025/2026.

Mamlaka ya hifidhi ya Ngorongoro ilichukua uwamuzi wa kujenga jengo la utawala nje ya hifadhi ikiwa ni moja ya utaratibu wa kuhifadhi mazingira ya hifadhi hiyo dhidi ya shughuli mbalimbali za kibinadamu zilizokuwa zinaathiri hifadhi hiyo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa