• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

TWENDENI TUKASIMAMIE MIRADI YA MAJI

Posted on: November 25th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewataka viongozi wa Mkoa Arusha wakiwemo wakuu wa Wilaya,wenyeviti wa Halmashauri  na watendaji wote kusimamia miradi ya Maji ili ikamilike ndani ya muda uliopangwa.

Maagizo hayo ameyatoa katika kikao kazi cha wadau wa maji wa Mkoa wa Arusha.

"Ili miradi hii iweze kukamilika inaitaji ushirikiano wa ngazi zote na wananchi watapata Maji kwa wakati".

Dhima ya Serikali ni kuhakikisha Maji mijini yanapatikana kwa asilimia 95 na Vijijini asimilia 85  ifikapo 2025, ndio maana fedha nyingi zimeletwa kwenye miradi hii.

Amesema wajibu wa viongozi ni kuhakikisha Maji yanawafikia wananchi kwa wingi.

Nae, Meneja anaesimamia vyombo vya watoa huduma za Maji ngazi ya jamii ambae amemwakilisha Meneja Mkuu wa RUWASA,bi Valentine Masanja amewaomba viongozi wa Mkoa wa Arusha kuwahamisisha wananchi wachangie  bili za Maji ili miradi mingi iweze kuanzishwa na huduma za Maji kuwafikia wananchi.

Mhandisi Emmanuel Makaidi amesema maelekezo yote yaliyotolewa  wanaenda kuyafanyia kazi ili kuhakikisha wananchi wa Mkoa wa Arusha wanapata Maji ya kutosha.

Mkuu wa Wilaya ya Monduli Mhe. Frank Mwaisumbe kwa niaba ya wakuu wa Wilaya wote amependekeza miradi mikubwa ya Maji ndio itatatua changamoto ya Maji kwa kiasi kikubwa hasa kwa Jamii za wafugaji kuliko miradi midogo inayowafikia wananchi wachache.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa