Mkuu mpya wa Wilaya ya Monduli Mhe. Gloriana Julius Kimathi akila kiapo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Kenan Laban Kihongosi (hayupo pichani), hafla iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha mapema leo Juni 30, 2025.
Uapisho huo umekuja kufuatia Mhe.Gloriana kuteuliwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, kuwa Mkuu wa wilaya ya Monduli Juni 23, 2025.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa