Viongozi wa dini mbalimbali wa mkoa wa Arusha wamemfanyia maombi na dua maalumu Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Paul Makonda wakati wa Maombi maalum ya kuombea mkoa ja Taifa yaliyofanyika kwenye mzunguko wa Mnara wa Mwenge leo Desemba 09, 2024.Watumishi hayo, wamemuombea Mhe. Makonda mara baada ya yeye kusimama na kuuombea mkoa huu, watoto, kina mama na kina baba, biashara na uchumi wa mkoa huu uweze kuimarika.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa