• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

VIONGOZI WA MKOA WA ARUSHA WAPATA ELIMU YA UWANDAAJI DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050

Posted on: July 25th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi pindi itakapofika muda wakutoa maoni ya dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050.

Kauli hiyo ameitoa wakatika akifungua kikao maalumu cha uelimishaji wa uwandaaji wa dira ya Taifa ya maendeleo kwa mwaka 2050.

Amesema dira kazi yake kubwa nikuonesha wapi unakwenda na utakwendaje na unatarajia kufika lini.

"Kukosa dira nisawasawa na mtu ambae hajui anaelekea wapi na mtu kama huyu huwa hawezi kupotea maana anakuwa hajui wapi anaenda atakapochoka ndio atakuwa amefika".

Jukumu letu sisi viongozi kwanza, nikujenga uwelewa wa dira hii ya 2050 na kisha tutoke kwenda kwa wananchi na wale wote tunaowaongoza  chini yetu kuwaelimisha na kuwahamasisha.

Mongella amesema, dira ya sasa inaelekea ukingoni ifikapo 2025 na mabadiliko makubwa tumeyaona katika nchi yetu kupitia sekta mbalimbali kama uchumi, afya, maji, umeme, elimu na miundombinu ikiboreshwa kila leo.

Kwa upande wake, mwenyekiti wa timu ya uandishi wa  dira ya Taifa ya maendeleo 2050 Gladness Salema amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni sikivu na akaona nivizuri asikilize wananchi wake wanataka nchi ielekee wapi kupitia mpango huu wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050.

Vilevile, amewataka viongozi wa kisiasa  washiriki kikamilifu katika zoezi hili la kihamasisha wananchi wachangie maoni ya dira ya Taifa 2050 ili waseme wanataka Tanzania ya namna gani.

Gladness amesema zama za manung'uniko na malalamiko zimepitwa ni wakati sasa wa kila mtu kusema anataka Tanzania ya namna gani.

Nae, Mjumbe wa timu uandishi wa dira ya Taifa ya maendeleo 2050 Sostenes Kewe amesema dira hii itaenda kutuunganisha wananchi wote kwani tutaweza kusema tunataka Tanzania ya namna gani.

Amesema, dira hii niyamiaka 25 hivyo itajikita kuonesha mabadiliko ya mazingira, vipaombele vya muda refu, itaweza kuonesha mwelekeo wa nchi, itaendeleza mafanikio ya dira 2025.

Kikao kazi cha dira ya Taifa ya maendeleo 2050 kimefanyika katika ngazi ya Mkoa wa Arusha na kujuisha viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa na viongozi wa dini kwa lengo la kujengewa uelewa wa dhana nzima ya dira na namna watakavyoshiriki katika kujenga uwelewa kwa wananchi.










Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • NDOTO YA RAIS SAMIA KWA ARUSHA: KUITUMIA FURSA YA UTALII KUINUA UCHUMI WA MKOA

    June 14, 2025
  • Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeagizwa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato

    June 13, 2025
  • WILAYA YA KARATU YATAKIWA KUIMARISHA USAFI NA UKUSANYAJI WA MAPATO

    June 12, 2025
  • WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI.

    June 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa