• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAMAREKANI WATALII KWA WINGI TANZANIA- KAIMU BALOZI MAREKANI TANZANIA..

Posted on: September 11th, 2025

_Rc Makalla amuhakikishia usalama na mazingira mazuri ya uwekezaji_


 _Aishukuru Marekani kwa kuchangia watalii na ushirikiano katika miradi ya maendeleo_


 _Waahidi kushirikiana kukuza utalii_


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla leo Alhamisi Septemba 11, 2025 amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Balozi Andrew Lentz, akimuhakikishia usalama na mazingira rafiki ya uwekezaji na utalii Mkoani Arusha.


Katika mazungumzo yao CPA Makalla amemshukuru Balozi Lentz kwa ushirikiano na mchango wao mkubwa kwenye maendeleo ya Tanzania hususani katika sekta ya utalii, akieleza kuwa Mkoa wa Arusha na Tanzania kwa ujumla ni wanufaika wa idadi kubwa ya watalii kutoka nchini Marekani, akimsisitiza kuendelea kuwashawishi Raia wa Marekani kuja kutalii na kuwekeza nchini.


"Mkoa wa Arusha una utulivu mkubwa wa kisiasa, amani, usalama unaosababisha wananchi wetu kuendelea kujikita kwenye shughuli zao za maendeleo hivyo niwahakikishie raia yeyote wa Marekani na Mataifa mengine hawana sababu ya kuwa na wasiwasi wa kutembelea vivutio vya utalii vinavyopatikana Arusha ama kuja kuwekeza na kufanya biashara. Ofisi yangu ipo wazi na ipo tayari kutoa ushirikiano kwa yeyote anayekuja kuwekeza na kutalii Arusha." Amesema Mhe. Makalla.


Naye Balozi Lentz amempongeza CPA Makalla kwa dhamira yake ya kusimamia maelekezo ya serikali katika kukuza utalii unaoongeza pato la Arusha na Taifa kwa ujumla kwa kuimarisha usalama Mkoani Arusha pamoja na jitihada zake za kurahisisha ufanyaji wa biashara kupitia mpaka wa Namanga kwa kuimarisha usalama na kuhimiza upatikanaji wa skana kwenye mpaka huo ili kupunguza muda wa wageni na mizigo kuhudumiwa wanapoingia nchini kupitia mpaka huo.


Viongozi hao pia wamejadiliana uwezekano wa kuanzisha Ukanda wa teknolojia ya kilimo cha Kibiolojia ( Bio- Agricultural technology Corridor)  ili kuboresha uzalishaji kwenye sekta ya kilimo, kuimarisha usalama wa chakula na kujenga sekta ya kilimo inayostawi na endelevu kwa kuunda mfumo wa Ikolojia unaostawi kwa manufaa ya wakulima wa Arusha na soko la Marekani.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKALLA AUNDA TUME KUFUATILIA SAKATA LA MACHINJIO NGORBOB ARUMERU..

    September 09, 2025
  • WAMAREKANI WATALII KWA WINGI TANZANIA- KAIMU BALOZI MAREKANI TANZANIA..

    September 11, 2025
  • RAIS SAMIA KUZIUNGANISHA MONDULI NA NGORONGORO KWA BARABARA YA LAMI..

    September 10, 2025
  • KILA LA KHERI DARASA LA SABA 2025..

    September 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa