Picha za wananchi waliyojitokeza kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha, uzinduzi unaofanyika katika Uwanja wa Ngarenaro leo, Machi 28, 2025.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa