• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANAUME JITOKEZENI KUPIMA VVU

Posted on: September 14th, 2019

Naibu Waziri wa Afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Muheshimiwa Dr. Faustine Ndungulile, amesema serikali ipo katika mchakato wa kuleta mpango madhubuti wa upimaji virusi vya UKIMWI binafsi.

Aliyasema hayo alipokuwa akifungua kikao cha tathimini juu ya namna ya kupunguza maambukizi ya UKIMWI Tanzania kilichoandaliwa na Taasis ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR), Jijini Arusha.

Amesema mfumo huo wa upimaji binafsi unalenga kuwafikia zaidi makundi ambayo yapo kwenye mazingira hatarishi hasa ya vijana wakike na pia kutoa wigo mpana kwa wanaume pia kupima kwani bado idadi yao ni ndogo ukilinganisha na wanawake.

Pia, serikali katika kuhakikisha inatokomeza ugonjwa huo mwaka 2016 iliweka mkakati uitwao 90, 90,90 yani  (asilimia 90 ya watu wanatakiwa wawe wanajitambua hali zao,asilimia 90 waanze kutumia dawa na asilimia 90 kuhakikisha wamefubaza VVU).

Aidha, kwa mkoa wa Arusha mkakati huu umeweza kufanya vizuri sana kwa asilimia 90 ya kwanza kufanikiwa kwa asilimia 76,asilimia 90 ya pili kufanikiwa kwa asilimia 98 na asilimia 90 ya tatu imefanikiwa kwa asilimia 80.

Amesema serikali inaendelea kuboresha baadhi ya huduma kama vile; kuongeza muda wa uchukuaji dawa za kupungaza makali ya UKIMWI kutoka miezi 3 hadi 6 na kutoka mafunzo kwa baadhi ya wataalamu wa afya ili kuongeza wigo wa utoaji huduma.

Sambamba na hilo katika kuhakikisha malengo hayo yanafikiwa na serikali ifikapo 2030 na ugonjwa huo umetokomezwa kabisa,serikali itaendelea kushirikiana na Taasis zote za serikali na binafsi zilizojikita katika kutokomeza ugonjwa huo.

Nae makamu mwenyekiti wa kamati ya bunge ya huduma ya maendeleo ya jamii mhe. Juma Nkamia (MB), amezishauri taasis zote zinazoshughulika na tafiti za mapambano dhidi ya UKIMWI kuhakikisha zinatumia lugha ya Kiswahili kama lugha kuu ya mawasiliano ili jumbe ziweze kuwafikia walengwa kwa urahisi zaidi na kueleweka.

Mkurugenzi mtendaji wa Taasis ya Utafiti wa magonjwa ya bianadamu Profesa Yunus Mgaya, amesema lengo la tafiti mbalimbali zinazofanywa na NIMR ni kuhakikisha zinasaidia malengo mbalimbali ya wizara ya afya na kurekebisha  sera kwa manufaa ya nchi kwa ujumla.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa