• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI AWESO AGIZA KUFANYIKA UKARABATI WA DHARURA KULINUSURU BWAWA LA NANJA..

Posted on: April 21st, 2024

Na Elinipa Lupembe.

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (MB) amefika Wilaya ya Monduli kwa lengo la kunusuru Bwawa la Nanja, baada ya kingo za Bwawa hilo kumeguka kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, bwawa ambalo ni chanzo pekee cha Maji,  kiachotegemewa na wafugaji wa vijiji 30 katika

Akizungumza na mamia wa wananchi wa Kata za Lepruko, Sepeko, na Makuyuni,  Mhe. Aweso ametoa  maelekezo kwa Wataalamu wa Wizara ya maji kutumia taaluma zao kuhakikisha Bwawa, linakarabatiwa kwa dharura na kwa haraka, ili kudhibiti maji kuendelea kupotea  wakati wakisubiri kufanya usanifu wa kina nyakati za kiangazi, bwawa hilo liweze kukarabatiwa kwa uhakika zaidi

Mhe. Aweso amesisitiza kuwa, pamoja na ugumu wa kukarabati bwawa hilo wakati likiwa na maji, amewaagiza  wataalamu wa Wizara ya Maji, kufanya  maamuzi magumu ili kufanikisha kulinusuru Bwawa hiko, kwani hakuna namna nyingine.

Naye Mbunge wa Jimbo la Monduli Mhe. Fred Edward Lowassa amesema kuwa, Bwawa hilo ni tegemeo kubwa la wanachi wa Monduli, ikiwa ni chanzo cha maji kinachotegemewa kwa matumizi ya Binadamu, mifugo na wanyamapori na kuiomba Serikali kupitia Wizara yenye dhamana kuona namna ya kufanua ukarabati kwa dharura ili kuondoa adha inayowakabili wananchi hao.

Aidha, Wakizungumza katika nyakati tofauti madiwani wa kata zinazoguswa na bwawa hilo wameishukuru Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Rais  Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwafikia kwa haraka na kutafuta ufumbuzi na utatuzi wa changamoto hiyo ya maji.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa