• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI KAIRUKI AWAHASA VIONGOZI NA WATENDAJI WA MKOA WA ARUSHA.

Posted on: August 13th, 2023

Waziri wa nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Angela Kairuki ameipongeza Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha  kwa kuratibu kikao kazi (Retreat) kwa viongozi na watendaji wa Mkoa wa Arusha nakuwataka wakitoka katika kikao hicho wawe kitu kimoja.

Waziri Kairuki ameyasema hayo alipokuwa akifungua kikao kazi hicho kilichofanyika Wilayani Karatu.

Amesema kikao hicho kitawasaidia kujifunza zaidi mifumo iliyopo katika Serikali ili wawezi kuisimamia vizuri na kuitumia kwa ufanisi zaidi.

Pia, amewataka viongozi na watendaji ngazi ya Wilaya na Halmashauri kuelezea miradi inayotekelezwa na Serikali kwa wananchi huku wakiwashirikisha ili waweze kuwa na ufahamu zaidi.

Mhe. Kairuki amewataka Wakuu wa Wilaya kuongeza kasi ya kusikiliza kero za wananchi hasa kwa kuanzisha kliniki zinazotembea mtaa kwa mtaa ili na kutatua kero hizo.

Vilevile, amezitaka halmashauri za Mkoa wa Arusha kubaini vyanzo mbalimbali vya mapato nakuviwekea mikakati yaukusanyaji kwa wakati wote.

Akizungumza katika kikao hicho, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema lengo kubwa la Kikao hicho ni kuwa na uwelewa wa pamoja na kujipanga kama timu kutekeleza malengo ya Mkoa.

Mongella amesema kikao hicho kitaleta mabadiliko makubwa kwa viongozi hao na watendaji katika utendaji wao wa kazi nakuleta ufanisi mkubwa.

Kwa upande wake, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa amesema kikao hicho kitawasaidia viongozi na watendaji kutoendelea kufanyakazi kwa mazoea.

Akizungumzia mafanikio ya Wilaya ya Karatu Mkuu wa Wilaya hiyo Horace Kolimba amesema Serikali imeweza kukuza uchumi wa Wilaya hiyo kupitia utalii ambapo watalii waliopokelea ni takribani 142,000 na kuingiza pato  bilioni 27.

Kikao kazi hicho kimejumuisha Viongozi wa Mkoa, Wilaya,Halmashauri na taasisi za Serikali na mada mbalimbali zitawasilishwa ikiwemo matumizi ya teknolojia ya TEHEMA na tathimini ya utendaji kazi kwa mwaka 2022/2023.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa