Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, akiwasili kwenye Hoteli ya Gran Meleia Mkoani Arusha, tayari kwa kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassa, kufungua Mkutano wa 21 wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki mapema leo, Desemba 03, 2024.
Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa