• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WAZIRI WA FEDHA AZITAKA NCHI ZA EAC KUIMARISHA MATUMIZI YA MFUMO WA NeST

Posted on: September 12th, 2024


Na Elinipa Lupembe 



Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Mwigulu Nchemba amezitaka  nchi za Afrika Mashariki  kuendelea kuimarisha matumizi ya mfumo wa kidijitali wa Ununuzi wa Umma - NeST, sambamba na kuendelea kutoa elimu ya matumizi ya mfumo huo, ili  kuongeza uwazi, kupata thamani halisi ya fedha pamoja na kurahisisha kazi ya Ununuzi kwa maendeleo endelevu.



Dkt. Mwigulu ameyasema hayo mkoani Arusha wakati akifunga Jukwaa la 16 la Ununuzi wa Umma Nchi za Afrika Mashariki, kwenye Kituo cha Mikutano ya kimataifa Arusha, Septemba 12, 2024 na kuzishauri nchi hizo kuimarisha mfumo wa Ununuzi , kwa manufaa ya nchi zote ili kuchangia jitihada za viongozi wa nmataka Jumuiyayhiyo ili kuinua hali za kiuchumi za Taifa nz wananchi wake.



"Endeleeni kutoa elimu kwa Umma kwa kuwa Taasisi zote za Umma zinapaswa kufanya ununuzi kupitia mfumo wa NeST, ili kuhakikisha matakwa ya Sheria Mpya ya Ununuzi wa Umma, Sura Na. 410, yanazingatiwa na watu wote ili kuongeza uwazi, uwajibikaji, ushindani na thamani ya fedha zinazotumika katika shughuli husika". Amesema



Aidha, amezitaka Taasisi  za Umma kutumia fursa hiyo kuinua uchumi wa Afrika Mashariki kwa kutengeneza mikakati endelevu ya kuendeleza mashirikiano baina ya nchi zote katika kutekeleza kazi za ununuzi na ugavi kupitia mifumo ya kielektroniki, na kusisitiza kuwa jambo hili linawezekana na litafanyika kwa ufanisi zaidi kupitia ziara za mafunzo kutoka nchi moja mwanachama kwa kubadilishana wataalamu na uzoefu. 



“Nimefurahishwa na kauli mbiu ya jukwaa hili inayosisitiza 'Matumizi ya Kidigitali kwa ajili ya Ununuzi Endelevu katika Sekta ya Umma', ninapenda kuwahakikishia kuwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ipo mstari wa mbele kuhakikisha kauli mbiu hii inatekelezwa kwa vitendo na ndio maana tumeuzindua rasmi mfumo wa NeST ambao utaleta mapinduzi na uwazi katika sekta hii". Amesema Mwingulu.



Naye Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi ya Umma, Dkt. Leonada Magika amesema, Tanzania itaendelea kurekebisha makosa madogo madogo yatakayojitokeza kwenye mfumo wa manunuzi wa kidijitali uliozinduliwa ili ulete ufanisi.



Hata hivyo Jukwaa la 17 la Ununuzi wa Umma mwaka 2025, limepangwa kufanyika nchini Sudani Kusini,  ambapo wamekabidhiwa zawadi kama ishara ya kukabidhiwa kijiti na nchi wenyeji Tanzania.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa