• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI ARUSHA

Posted on: June 4th, 2019

          MWENGE WA UHURU MKOANI ARUSHA 2019.

Mkoa wa Arusha unatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru tarehe 6 Juni, 2019 katika Wilaya ya Ngorongoro kata ya Ololosokwani ukit5okea Mkoa wa Mara.

Mwenge wa Uhuru utakimbizwa katika Wilaya 6 za Mkoa wa Arusha na Halmashauri zake 7, ukianzia Wilaya ya Ngorongoro, Longido, Arusha,Meru, Jiji la Arusha,Monduli na kumalizia wilaya ya Karatu.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Arusha utafanya kazi ya kuweka mawe ya msingi, kuzindua, kufungua na kukagua miradi 57 ya maendeleo ya wananchi yenye thamani ya Tshs. Bilioni Mia Tano Sabini na Nane Milioni Mia Tatu Sitini na Laki Tisa na Arobaini Tano Elfu, na Mia Moja Sabini na Mbili na Senti Hamsini (578,360,945,172.50) kwa mchanganuo ufuatao:-

  • Mchango wa Serikali Kuu ni Tshs. 541,725,410,035.85/=
  • Mchango ya Halmashauri ni Tshs. 885,811,490.00/=
  • Mchango wa wadau/wahisani ni Tshs. 10,252,877,739.65/=
  • Mchango wa nguvu za Wananchi ni Tshs. 577,190,907.00/=
  • Mchango wa wawekezaji wa ndani ni Tshs.   24,919,655,000.00/=

Miradi 15 itawekwa jiwe la msingi, miradi 4 itafunguliwa, miradi 12 itazinduliwa na miradi 26 itatembelewa na kukaguliwa kuona maendeleo yake. Miradi hii ni ya maji, afya, ujenzi wa barabara, elimu, utawala, kilimo, uvuvi, ufugaji, uhifadhi wa mazingira na miradi mingineyo.

Aidha mbio hizi zitakagua na kupokea taarifa ya ukamilishaji na uendelevu wa miradi iliyopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2018 pamoja na uwezeshaji wa vijana na watu wenye ulemavu kiuchumi kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri zetu kwa mgawanyo wa 4% kwa vijana na 2% kwa watu wenye ulemavu.

Ujumbe wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2019 ni “Maji ni haki ya kila Mtu, tutunze vyanzo vyake na tukumbuke kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa”.

Aidha kaulimbiu hii inaambatana na ujumbe wa kudumu kuhusu mapambano dhidi ya:-

VVU/UKIMWI, chini ya kauli Mbiu isemayo “Pima, Jitambue, Ishi”

Malaria, chini ya kauli Mbiu isemayo “Nipo tayari kutokomeza Malaria, wewe Je?”

Dawa za kulevya, chini ya kaulimbiu isemayo “Tujenge Maisha Yetu, Jamii Yetu na Utu Wetu bila Dawa za Kulevya”

Rushwa, chini ya kaulimbiu isemayo “Kataa Rushwa, Jenga Tanzania”

Mwenge Uhuru utakabidhiwa kwa Mkoa wa Manyara mnamo tarehe 13 Juni, 2019.


Imeandaliwa na;

Kitengo cha Habari na Uhusiano,

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Arusha.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa