• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

RC MONGELLA AWATAKA WAKANDARASI WA UMEME KUWASILISHA MIPANGO KAZI YAO.

Posted on: January 28th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ameagiza wakala wa Nishati ya umeme Vijijini (REA) kuhakikisha  wanawasimamia wakandarasi waliopewa zabuni za kusambaza umeme huo na kuwalisha mipango  kazi yao kwa wakati  kabla kupewa idhini ya kuanza kuweka miundombinu ya umeme kwa wananchi.

Aidha serikali imetoa sh.bilioni 44.4 kwaajili ya ukamilishaji wa umeme kwenye vijiji 103 vilivyopo Mkoa wa Arusha lakini bado kunaonekana kusuasua kwa uwekaji umeme huo kwa wakandarasi waliopewa zabuni hizo.

RC Mongella, ametoa agizo hilo wakati alipofanya kikao kazi na wajumbe wa bodi na watendaji wake kutoka REA waliofika Jijini Arusha kujionea hali halisi ya uunganishwaji wa umeme katika vijiji 103 vya Mkoa wa Arusha.

RC Mongella alibaini wakandarasi waliopewa zabuni za kusambaza umeme vijijini kusuasua kutokana na kutokuwa na fedha za kuanza miradi na kutegemea kulipwa fedha na REA na kupelekea kuwasha umeme kweye kijiji kimoja huku vijiji 43 vikishindwa kufikiwa na umeme huo maeneo ya wilaya za Ngorongoro,Meru pamoja na Arusha Dc

Alisema kukosekana kwa umeme huo wa REA awamu ya III mzunguuko wa  pili kwa wananchi kunaleta lawana kwa wananchi dhidi ya serikali kumbe wakandarasi ndio wanaokwamisha kazi kwa wakati.

"Yani nauliza wewe mkandarasi unapewa kazi ya kusambaza umeme unawasha umeme kijiji kimoja huku vijiji vingine 43 vikiwa havina umeme,sasa hii sitaikubali na naomba REA mlichukue jambo hili kwa udharura zaidi ili muangalie mkandarasi asiye na viwango akae pembeni maana anakwamisha juhudi za serikali za kupeleka maendeleo kwa wananchi".

"Haiwezekani serikali itoe hela halafu nyie wakandarasi mnashindwa kumaliza miradi kwa wakati.

Ameitaka REA kuhakikisha wakandarasi wanaleta mipango yao kazi kabla ya kupewa miradi ili wajue wanauwezo gani,maana sababu wanazosema hazina mashiko kama hawana vifaa waseme au ni mtaji".

Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya REA,Mhandisi,Styden Rwebangila alisema bodi hiyo imefika Mkoani Arusha na kuwaita wakandarasi wanaosuasua kukamilisha miradi ya umeme Ili kubaini kwanini wanashindwa kukamilisha usambazaji huo wa umeme kwa wakati ilihali walipewa kazi na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kupitia REA kupeleka umeme vijijini .

Alisema maendeleo ya usambazaji wa umeme huo sio mzuri hivyo waseme tatizo ni nini na kama bodi tujue la kufanya sababu muda wao wa kazi waliopewa unaisha mwezi wa sita na mwingine unaisha mwezi ujao hatua zichukuliwa.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa