• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

SWALA LA LISHE NA ICHF TUYABEBE KWA UZITO ZAIDI-RC MONGELLA

Posted on: July 12th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewaagiza wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha kuweka mikakati na kusimamia hali ya lishe na uwandikishaji wa bima ya Afya iliyoboreshwa (ICHF) katika maeneo yao.

Ameyasema hayo alipokuwa akiongoza kikao  cha tathimini cha lishe na bima iliyoboreshwa Mkoa kwa mwaka 2020/2021.

Ametoa pongezi kwa wadau wote wa lishe kwa kuufanya Mkoa kushika nafasi ya pili Kitaifa mwaka 2019/2020 ikiongozwa na Mkoa wa Kigoma.

"Bado juhudi zinaitajika za kuboresha zaidi hali ya lishe hasa katika Halmashauri ambazo hazikufanya vizuri".

Kwa mwaka wa fedha  2021/2020 Halmashauri zimetenga kiasi cha shilingi Milioni 3.7 kama fedha za lishe kwa watoto wenye  umri chini ya miaka 5 ambapo wastani wa Mkoa kwa kila mtoto ni shilingi 1,202.

Aidha, amesema swala la uwandikishaji wa bima ya Afya iliyoboreshwa nila umuhimu kwani Afya inabeba maisha ya watu hivyo viongozi wote walibebe kwa uzito zaidi.

Amesema viongozi wa kimala wanamchango mkubwa wa kuhakikisha elimu na hamasa zinawafikia wananchi,hivyo washirikishwe kikamilifu.

Kwa sasa hali ya uwandikishaji Kimkoa Hadi Juni 30, 2021 ni  wanachama 19,581 na kati yao wanufaika ni 97,905 na kuufanya Mkoa kushika nafasi ya 12 Kitaifa kati ya Mikoa 26.

Nae, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt.Athumani Kihamia ameshauri kuwepo na utaratibu wa uchangiaji wa fedha za lishe kwa Halmashauri zote kutoka katika chanzo kimoja ili kurahisisha katika ufanyaji tathimini.

Mkoa wa Arusha umejipanga katika kuhakikisha lishe na uwandikishaji wa bima ya Afya iliyoboreshwa zinafanya vizuri katika ngazi ya Kitaifa.







Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa