• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

WANAFUNZI 29,508 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MKOA WA ARUSHA 2024..

Posted on: November 10th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Jumla ya wanafunzi 29,508 mkoa wa Arusha, wanatarajia kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024, unaoanza Novemba 11 - 29, 2024 nchini,  kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania.

Akitoa taarifa ya kufanyika mtihani huo, Afisa Elimu Mkoa wa Arusha, Mwl. Sara Mlaki, amesema kuwa, kati ya watahiniwa hao 29,508, wasichana ni  16,222 na wavulana ni 13, 286.

Aidha, wanafunzi 28,209, wavulana ni 12,769 na wasichana 15,440, ni watahiniwa wa shule 'school candidates' watakaofanya mtihani kwenye shule 255 za Serikali na binafsi kukiwa na mikondo 760 huku Wanafunzi 1,299 wavulana 517 na wasichana  782,
 ni watahiniwa wakujitegemea 'Private candidates'  watakaofanya mtihani kwenye vituo 61 vilivyoanishwa vikiwa  na mikondo 54.

Afisa Elimu Mlaki amebainisha kuwa,  maandalizi yote yamekamilika ikiwemo uwepo wa vifaa vyote muhimu pamoja na wasimamizi wote kupatiwa semina elekezi, na kuishukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, kwa kuhakikisha mahitaji yote muhimu ikiwemo rasilimali fedha kutolewa kwa wakati.

Hata hivyo Afisa Elimu huyo, amewasisitiza wasimamizi wote wa mtihani kuwa waadilifu kwa kuzingatia Kanuni, Sheria na taratibu za mtihani wa Taifa na kuwaasa kutojihusisha na vitendo ambavyo ni kinyume na sheria na maadili ya utumishi wa Umaa, kwa kutambua kuwa kazi wanayoifanya ni kwa maslahi mapana ya watoto wakitanzania ambao wanategemewa kuwa ndio wajenzi wa Taifa lao

Sambamba na hilo, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe Paul Christian Makonda @baba_keagan wanawatakia kila la kheri wahitimu wote waweze kufanya mtihani wao vyema na kufaulu vizuri pamoja na kuwakumbusha watahiniwa wote kuzingatia maelekezo na kujiepusha na aina yoyote ya vitendo vya udanganyifu.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa