• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

*YALIYOJIRI LEO AGOSTI 30, 2024 WAKATI WA UFUNGAJI WA KIKAO KAZI CHA PILI CHA MWAKA CHA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA JIJINI ARUSHA*

Posted on: August 31st, 2024


*Aliyosema Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka*



#Serikali itayachukua maazimio yote na nawaahidi yatafanyiwa kazi na tutawasaidia kuhakikisha yanatekelezeka kwa sababu ndoto ya Mhe. Rais ni kuhakikisha tunakuwa na mashirika yenye ufanisi mkubwa wa viwango vya kimataifa na uwezo mkubwa wa kuchangia katika Pato la Taifa.



#Nawakumbusha ulazima wa kutekeleza maelekezo aliyoyatoa Mhe. Rais Samia, ni lazima yatekelezwe kwa ukamilifu wake.



#Jitihada kubwa zinahitajika kuendelea kuimarisha usimamizi wa taasisi za umma ili kuongeza ufanisi na tija kwani serikali imefanya uwekezaji mkubwa kwa taasisi hizo hivyo, inategemea kupata manufaa.



#Nasisitiza kuwa, ni wajibu wa kila taasisi kuandaa na kutekeleza kwa vitendo mkakati wa kitaasisi wa kupambana na rushwa, ni muhimu kuimarisha mifumo ya usimamizi.



#Ni lazima kuzingatia sheria kwenye uandaaji wa mikataba, uingiaji na usimamizi wake. Aidha, nawakumbusha kutimiza wajibu wenu katika kutekeleza maazimio ya mwaka 2024 na yale ambayo hayakukamilika mwaka 2023 



#Nawataka kuimarisha mifumo ya mawasiliano ndani ya taasisi na baina ya taasisi ili kuongeza ufanisi na kuweza kwenda kwa pamoja.



#Namtaka Msajili wa Hazina  atekeleze kikamilifu mfumo wa kupima ufanisi wa taasisi na mashirika ya umma ikiwemo matumizi sahihi ya rasilimali.



#Viongozi wa taasisi na mashirika ya umma wajenge utamaduni wa kujifunza mbinu na  mikakati mipya kutoka kwa mashirika yaliofanikiwa, tujifunze kutazama serikali kwa upana wake.



#Mhakikishe mnaweka mifumo mizuri ya usimamizi ili kuhakikisha watumishi walio chini yenu wanafanya kazi



#Mnatakiwa kuhakikisha mifumo ya TEHAMA inasomana, tunafanya hili kwa sababu ya kuongeza ufanisi katika kazi. Tayari Mhe. Rais Samia ametoa muda wa kukamilisha hadi mwezi Disemba, 2024.



#Natoa agizo ndani ya mwezi huu wa Septemba, viongozi wa taasisi na mashirika ya umma kuhakikisha wameshirikiana na Mamlaka ya Serikali Mtandao kuondoa changamoto zilizopo kabla ya mwezi Disemba kufika.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa