Mkoa una waigizaji, wachongaji, waimbaji, wapambaji, washonaji (wabuni wa mitindo ya mavazi) ambao kwa kazi hizo za sanaa wamejiajiri na kutengeneza ajira kwa wengine wa mtu binafsi,Mkoa kupitia matamasha, sanaa za jukwaani na kuuza vitu vya sanaa.
Kuna jumla ya vikundi 112 vya utamaduni katika Mkoa ambavyo vimesajiliwa na BASATA. Vipo vikundi vingine 56 ambavyo vipo katika hatua za awali za usajili.
Serikali kwa kushirikiana na bodi ya filamu ya Mkoa inaendelea na zoezi la kuwafuatilia na kuwabaini watu wanaohujumu kazi za wasanii na kuziuza mitaani bila kibali na kuwachukulia hatua kwa mujibu wa miongozo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.