• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA ATOA PIKIPIKI 20 KWA POLISI ARUSHA, KUFADHILI MATIBABU KWA WASIOJIWEZA

Posted on: January 24th, 2025

Mtendaji Mkuu wa Leopard Foundation inayomilikiwa na Kampuni Mama ya Leopard Tour inayojishughulisha na masuala ya Utalii Mkoani Arusha, Ndugu Zuher Fazal leo Ijumaa Januari 24, 2025 kwaniaba ya Taasisi hiyo,  amekabidhi Pikipiki 20 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha katika jitihada za kusaidia kuimarisha ulinzi na usalama Mkoani Arusha.



Wakati wa makabidhiano hayo kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda,  Ndugu Fazal amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa usimamizi wake mzuri wa sekta ya utalii nchini, akisema kuimarika kwa Sekta hiyo pamoja na mafanikio makubwa yanayopatikana chini ya Serikali ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndicho kilichowahamasisha kujitoa kuchangia Vitendetakazi hivyo kwa Jeshi la Polisi.



Kwa Upande wake Mhe. Makonda,licha ya kuishukuru Leopard Foundation, ameahidi kuendelea kutengeneza mazingira mazuri kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Arusha kwaniaba ya Mhe. Rais Samia ili wafanyabiashara hao waendelee kuwa chachu ya maendeleo ya uchumi wa Mkoa wa Arusha kupitia fursa mbalimbali za ajira wanazozizalisha pamoja na mchango wao wanaourudisha kwenye Jamii.



Leopard Foundation inayotoa usaidizi wa Kijamii katika mapambano dhidi ya umaskini pamoja na kusaidia katika elimu, usimamizi wa mazingira na afya, imeingia makubaliano pia na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha katika kusaidia huduma za matibabu kwa wahitaji wasiojiweza kiuchumi wanaofika Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa kwaajili ya matibabu.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.