• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ACHENI KUUZA MADAWA KWENYE MAGARI

Posted on: February 9th, 2022

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha  bwana David Lyamongi amewataka wadau wote wanashughulika na biashara ya madawa, vifaa tiba na vifaa tenganishi kutumia mazingira  bora ya biashara na watalaamu  waliobobea ili kulinda Afya za wananchi.

Bwana Lyamongi ameyasema hayo alipokuwa akifungua kikao kazi cha, wauzaji wa madawa, vifaa tiba na tenganishi kutoka Mkoa wa Arusha, kilichoandaliwa na Mamlaka ya dawa na vifaa tiba (TMDA).

Vilevile ametoa onyo kali kwa wale wote wanauza dawa kwenye magari kwani hawafuati taratibu, kanuni na Sheria za madawa na hivyo kuhatarisha Afya na uhai wa watu  hivyo wachukuliwe hatua kali dhidi yao.

Pia,ameitaka mamlaka ya dawa na vifaa tiba kuwachukulia hatua kali wale wote wanakiuka Sheria,kanuni na taratibu za madawa na vifaa tiba.

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa Vones Uwiso ameitaka mamlaka ya madawa na vifaa tiba kuendelea kutoa elimu zaidi katika Jamii ili kukuza ufahamu.

Aidha amewataka waongeze nguvu zaidi katika usimamizi ili kulinda Afya za wananchi.

Meneja wa Kanda mamlaka ya madawa na vifaa tiba bwana Proches Patric, amesema swala la kumlinda mwananchi linatakiwa litoke ndani ya Moyo wa mtu.


Mamlaka ya madawa na vifaa tiba Kanda ya Kaskazini imefanya kikao na wadau wa madawa, vifaa tiba na vifaa tenganishi ili kufafanua zaidi juu ya Sheria, kanuni na taratibu za ufanyaji kazi katika sekta hiyo.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.