• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

AONDOLEWA MAJUKUMU YA USIMAMIZI WA UJENZI

Posted on: November 12th, 2021


Katibu Tawala Mkoa wa Arusha  Dkt. Athumani Kihamia amemuondolea majukumu ya usimamizi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari Umoja, bwana Fred Lubida.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Dkt. Kihamia kukagua ujenzi wa vyumba vya Madarasa  katika Wilaya ya Arumeru na kutorishishwa na kasi ya ujenzi wa chumba cha darasa katika shule hiyo.

"Kwa kuwa Mwalimu Mkuu amesema bado yupo kwenye hatua ya kujifunza maswala ya ujenzi basi atupishe kwanza achaguliwe Mwalimu mwingine mwenye uzoefu asimamie ujenzi huu ili muweze kwenda na kasi ya Serikali ya awamu ya sita",alisema.

Ametoa wito kwa wakuu wa Shule zote za Sekondari  Mkoa wa Arusha kuhakikisha wanasimamia vyema ujenzi wa Madarasa katika shule zao na ujenzi ukamilike ifikapo Disemba 5,2021.

Serikali imetoa jumla ya Bilioni 1.4  fedha za mapambano dhidi ya UVIKO 19 kwa Halmashauri ya Meru kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 70.

Hivyo amewataka viongozi wa Halmashauri kusimamia  fedha hizo kwa umakini ili ziweze kukamilisha malengo yaliyowekwa ya ujenzi wa Madara  yote 70.

Nae, Mkurugenzi wa halmshauri hiyo  Mwl. Zainabu Makwinya amewataka mafundi ujenzi kuongeza idadi ya vibarua kwani itawasaidia kufanya kazi kwa muda mfupi zaidi huku gharama ikibaki pale pale.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.