• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ARUSHA NA KOREA KUSHIRIKIANA KWENYE UTALII WA MATIBABU NA MATUMIZI YA NISHATI SAFI.

Posted on: March 12th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatano  Machi 12, 2025 Jijini Arusha, amekutana na kufanya mazungumzo na  Balozi  wa Jamhuri ya Korea Mhe. Eunju Ahn, akiialika Korea kushirikiana na Serikali katika kuukuza utalii wa Matibabu na kuchangamkia fursa za uwekezaji zinazopatikana Mkoani Arusha.



Mhe. Makonda amemueleza Balozi Ahn kuwa kutokana na Arusha kuwa na ugeni mbalimbali sambamba na kuwa na Makao makuu na Ofisi mbalimbali za Kimataifa, Serikali ina maono ya Kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa, hivyo anaamini kuwa teknolojia na utaalamu wa Korea katika matibabu unaweza kuwa chachu katika kufanikisha maono hayo ya Rais Samia Suluhu Hassan.



Mhe. Makonda pia amemuhakikishia Balozi Ahn kuwa zipo fursa mbalimbali za kiuchumi Mkoani Arusha zinazoweza kuchangamkiwa na watu wa Korea ikiwemo sekta ya usafiri na Kilimo, akitoa hakikisho la utulivu wa kisiasa, amani na ushirikiano wa dhati kutoka serikalini kwa wawekezaji na wafanyabiashara watakaowekeza mkoani Arusha.



Katika maelezo yake Balozi Ahn, amempongeza Mhe. Makonda kwa uwajibikaji mzuri kwa wananchi sambamba na kuikuza sekta ya Utalii mkoani Arusha na kuifanya Arusha kutambulika Kimataifa, akiahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Mkoa katika kuhakikisha maono na ndoto za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zinatimia hasa katika kampeni yake ya kukuza uchumi na kuhimiza matumizi ya nishati safi hasa ya kupikia kwa wanawake wa Kitanzania.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.