Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD), Mkoa wa Arusha, Mhandisi Regnald Raby Massawe, ametumia haki yake ya Kikatiba kwa kujiandikisha kwenye Orodha ya Mpiga kura kwenye Mtaa wake wa Mtaa wa Moshono Kati, kata ya Moshono, Jiji la Arusha.
Jiandikishe kuanzia tarehe 11 - 20 Oktoba, 2024 upate sifa ya kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.