Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kiluther (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa leo tarehe 26 Machi, 2025 amefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kukutana na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda na kufanya Mazungumzo mafupi sambamba na kumfanyia maombi na kuombea amani katika Mkoa huo na Taifa kwa ujumla.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.