Baraza la wafanyakazi Mkoa wa Arusha limepitisha mapendekezo ya Bajeti ya shilingi bilioni 8.6 kwa mwaka wa fedha 2023/2024 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na matumizi ya maendeleo katika Mkoa huo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.