• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

BADILISHENI MTINDO WA MAISHA KUEPUKA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Posted on: November 10th, 2021

Jamii ya Watanzania imetakiwa kubadili Mtindo wa maisha usiofaa ili kujenga Afya bora na kuleta tija kwa Taifa letu.

Yamesemwa hayo na Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha bwana Hargeney Chitukulo alipokuwa akifungua huduma za afya  katika maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza katika kiwanja cha sheikh Amri Abeid,Jijini Arusha

Amesema Jamii inapaswa kuzingatia ulaji unaofaa kwa kula mlo kamili, Matunda na mbogamboga zakutoka.

Aidha amesisitiza Jamii inapaswa kuepuka ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi,chumvi nyingi, vinywaji vyenye sukali na kilevi

Njia zitakazo ifanya Jamii kuepuka magonjwa yasiyoambukiza ni kama vile;kufanya mazoezi ya mwili na kuepuka msongo wa mawazo.

Kufanya uchunguzi wa Afya angalau mara moja kwa mwaka hasa kwa wenye umri zaidi ya miaka 40.

Akisisitiza zaidi, Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu bwana Kasper Mmuya amesema magonjwa haya yanatukumba ni kwasababu hatuna tabia ya kupima mara mara hivyo kushindwa  kuyazuia.

Ni dhahiri kwamba Jamii yetu inabidi ijenge tabia ya kupima afya zetu mara  kwa mara ili kuweza kuyadhibiti magonjwa haya yasiyoambukiza

Maadhimisho hayo ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yameanza mnamo Novemba 6,2021 na yanatarajiwa kufungwa Novemba 13, na Mhe. Dorothy Gwajima, Jijini Arusha.







Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.