Katibu Tawala Msaidizi Elimu bwana Abel Ntupwa akifungua Bonanza la michezo la miaka miwili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Kiwanja cha Sheikh Amri Abeid.
Bonaza hilo lililojumuisha watumishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na taasisi mbalimbali za Serikali Mkoani humo ikiwa ni shughuli mbalimbali zilizoandaliwa na Mkoa katika kuadhimisha miaka miwili ya Mama Samia.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.