Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro DKT. Tixon Nzunda amefariki dunia mchana wa leo, kwa ajali ya gari katika eneo la KIA wilayani Hai leo Juni 18, 2024.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuahidi kutoa maelezo zaidi baadaye atakapofika eneo la tukio.
Endelea kufuatilia ukurasa wetu kwa taarifa zaidi ya tukio hili.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.