Uongozi wa Chuo cha Ukamanda na Unadhimu - Tanzania, umempatia zawadi Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa, alipofika chuoni hapo Oktoba 03, 2024Uongozi huo umempatia zawadi hiyo, ikiwa ni ishara ya shukrani kwake kwa kukubali mwaliko na kuwasilisha mada ya namna ambavyo Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii yanavyochangia katika kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.