Mkuu wa wilaya ya Karatu na Mwenyekiti wa Kikao cha Tathmini ya Lishe Mhe. Dadi Horace Kolimba, akifungua Kikao cha Tathimini ya utekelezaji wa afua za Lishe Mkoa wa Arusha, kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Agosti 12, 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.