• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DED MERU DC AFUNGUA MAFUNEO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Posted on: December 5th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Meru na Afisa mwandikishaji wa Daftari la kudumu la mpiga Kura Jimbo la Arumeru Mashariki, Mwl. Zainabu Makwinya amefungua Mafunzo kwa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Desemba 04,2024.



Mwl. Zainabu, amewasisitiza maafisa hao kuzingatia mafunzo wanayopatiwa kwa kuwa ndio msingi na maelekezo ya zoezi zima wanalokwenda kulifanya la Uboreshaji wa taarifa za wapiga kura kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni maandalizi Bora ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani 2025.



Aidha Mwl. Makwinya amewataka wasimamizi hao kuongeza umakini kwenye  mambo ambayo ni mapya kwa kuzingatia teknolojia inayotumika ni mpya hivyo waache kuchukulia mambo kwa urahisi na kusema kuwa walishakwisha kufanya kipindi cha nyuma na badala yake kuwa makini na kuingiza kitu kipya ili kuleta ufanisi katika utendaji kazi wa Zoezi liloko mbele yao.



Hata hivyo, Waandikishaji hao  wamekula kiapo cha usiri na kiapo cha kujiengua kwenye vyama vyao vya Siasa ili kuwapa fursa ya kufanya kazi hiyo kwa uhuru na haki.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.