• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DKT. BITEKO AFUNGUA MAONESHO YA KARIBU KILI- FAIR 2025 ARUSHA

Posted on: June 6th, 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko, leo tarehe 6 Juni 2025 amefungua rasmi maonesho ya Karibu Kili-Fair yanayofanyika katika viwanja vya Magereza - Kisongo, jijini Arusha. Katika hotuba yake ya ufunguzi, Dkt. Biteko amesema sekta ya utalii ni mhimili muhimu wa uchumi wa taifa kwani inachangia asilimia 7.9 ya pato la taifa na pia ni njia madhubuti ya kuitangaza Tanzania kimataifa.



Amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza programu mbalimbali kama Royal Tour zinazolenga kuimarisha na kutangaza sekta ya utalii duniani kote kutokana na mchango wake mkubwa katika maendeleo ya kiuchumi huku akiipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na waandaaji na washiriki wa maonesho ya Karibu Kili-Fair kwa juhudi zao katika kukuza sekta ya utalii.



Aidha, Dkt. Biteko ametoa maelekezo kwa Wizara ya Maliasili na Utalii kuandaa mikakati ya kuendeleza mazao ya utalii yenye tija, pamoja na kutumia teknolojia ya TEHAMA katika kuitangaza Tanzania kimataifa na kusisitiza umuhimu wa kutumia ubunifu na teknolojia ili kuongeza ushindani wa kibiashara kwenye soko la kimataifa.



Vilevile, ametoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuendelea kuwekeza katika sekta ya utalii huku akiahidi kuwa Serikali itaendelea kuondoa vikwazo vinavyokwamisha maendeleo ya sekta hiyo na kuweka mazingira rafiki ya uwekezaji. 



Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Makonda, ameiomba Wizara ya Maliasili na Utalii kulitambua eneo la Magereza - Kisongo kama eneo maalum kwa ajili ya maonesho ya kimataifa ya utalii ili kuvutia wageni kutoka mataifa mbalimbali. Pia ameshauri muda wa maonesho hayo uongezwe kutoka siku 3 hadi siku 5 au 7 ili kutoa fursa zaidi kwa wawekezaji kuonesha bidhaa na huduma zao, hasa zinazohusiana na mnyororo wa thamani katika sekta ya utalii.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.