Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 1 Aprili, 2024 ametembelea Kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kukagua matengezo ya Mitambo kufuatia hitilafu kwenye Gridi ya Taifa iliyosababisha maeneo mengi ya Nchi kukosa huduma ya umeme.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.