Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwasili kwenye maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayofanyika kwenye viwanja vya stendi ya kilombero Jijini Arusha leo 26 Aprili, 2025.
Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025".
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.