Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko amewasili mkoani Arusha leo 05 Juni, 2025 na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda pamoja na Viongozi wengine wa Serikali na Chama katika kiwanja cha ndege cha Arusha.Dkt. Biteko yupo mkoani Arusha kwaajili ya kufungua maonesho ya Kili-Fair 2025 kesho 06 Juni, 2025 katika viwanja vya Magereza - Kisongo, halmashauri ya Jiji la Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.