• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DKT. MKOMBACHEPA ATAJA MALENGO YA KAMBI YA MADAKATARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI ARUSHA

Posted on: June 24th, 2024

Mganga  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Charles Mkombachepa akizungumza kwenye kliniki ya matibabu wakati wa Kambi Maalumu ya Madaktari Bingwa na Wabobezi Mkoa wa Arusha, inayofanyika kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha Juni 24, 2024.


Dkt. Mkombachepa amesema kuwa, lengo la Kambi ya Matibabu hayo ni kuwapa wananchi fursa ya kupata elimu ya afya, vipimo vya magonjwa mbalimbali na ushauri wa kitaalam ili kupata huduma stahiki za tiba na kinga ambapo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha inashirikiana na sekta binafsi, Hospitali na Taasisi mbalimbali za Matibabu, yenye Kaulimbiu ya Kambi ya "Afya yako mtaji wako, kazi yetu ni kukupatia huduma bora"


Ikiwa ni siku ya kwanza ya Kampeni ya siku saba iliyoandaliwa na Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha chini ya Uongozi shupavu wa Mhe. Paul Christian Makonda kwa kushirikiana na wadau wengine wa sekta ya afya maelfu ya wakazi wa mooa huo na mikoa jirani wamejitokeza kuoata huduma hizo za afya zinazotolewa bure.


Awali, Kambi ya Madaktari bingwa ni utekelezaji wa vitendo wa azma ya Serikali ya awamu ya sita ya kulinda nguvu kazi ya Taifa kwa kuwapatia wananchi huduma bora za afya hususani katika nyanja za uchunguzi wa magonjwa, elimu ya afya kwa Umma na kuimarisha huduma za tiba na kinga kwa jamii.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.