• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

DKT.SAMIA AONGOZA FAMILIA NA VIONGOZI WAKUU KUWEKA MASHADA YA MAUA KWENYE KABURI LA HAYATI MORINGE SOKOINE

Posted on: April 12th, 2024

8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan, akiweka shada la maua kwenye kaburi la  aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu mara baada ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango,  akitoka kuweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
 

Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na mkewe mama Mary Majaliwa wakiweka shada la maua kwenye kabuuri la  aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.

Makamu Mwenyekiti Chama cha Mapinduzi Taifa, Komredi Abdulrahama Kinana akiweka shala la Maua kwa kaburi la aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.



Rais wa Mstaafu wa Serikali ya awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua kwenye kaburi la  aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.
 

Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya awamu ya tatu Fredrick Sumaye na mkewe mama Sumaye, wakiweka shada la maua kwenye kaburi la  aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, ikiwa ni sehemu ya kukamilisha Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo chake, nyumbani kwake Enguik, Monduli Juu Aprili 12, 2024.

Matukio mbalimbali katika Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.



#arushafursalukuki

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.