Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mhe.John V.K Mongella leo tarehe 02/07/2023 ameongoza Kikao cha Baraza Maalum la Halmashauri ya Jiji la Arusha kupitia hoja za ukaguzi za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa kipindi cha Mwaka wa Fedha 2021/2022 na kuzitaka Halmashauri zote Mkoani Arusha kuepuka kuzalisha hoja sizo na msingi kwani zimekuwa zikipeleka Halmashauri kupata Hati chafu na zenye mashaka.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.