• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

FUATENI SHERIA ZA UUZAJI WA MADINI

Posted on: May 20th, 2022

Naibu Waziri wa madini Mhe. Steven Kiruswa amewataka wafanyabiashara ya madini wa kati kufuata sheria zilizowekwa katika masoko ya madini.

Ameyasema hayo alipokuwa akifunga kikao cha siku 2 cha chama cha  wafanyabiashara wa kati wa madini nchini (CHAMMATA) kilichofanyika Jijini Arusha.

Amesema serikali ipo tayari kushirikiana na chama hicho kama inavyoshirikiana na vyama vingine katika sekta hiyo ya madini ili changamoto zao ziweze kutatuliwa kwa pamoja.

Amesisitiza kuwa sekta ya madini inamchango mkubwa sana katika kukuza uchumi wa nchi kwani kwa mwaka 2020/2021 Serikali ilikusanya kiasi cha sh. bilioni 584 na malengo ya makusanyo kwa mwaka 2022/2023 ni bilioni 822.

Madini ni kitega uchumi kikubwa cha nchi hivyo wafanyabiashara wote wakubwa, wakati na wadogo wafuata sheria za uuzaji wa madini katika masoko na vituo vya kuuzia madini.

Akisisitiza zaidi kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe.Nurdin Babu amewataka wafanyabiashara wa madini kufuata sheria za madini hasa za uuzaji ili kukuza pato la Taifa.

Nae, mwenyekiti wa CHAMMATA bwana Jeremiah Kipuyo amesema wao kama wafanyabiashara wa kati wa madini wanaunga mkono Serikali katika kuuza madini kwenye masoko ili kuyalinda na kukuza pato la taifa.

Amesema kuanzishwa kwa  chama hicho kutasaidia kufanya kazi kwa karibu na Serikali  na kupiga vita utoroshaji wa madini kiholela na kuzuia uingizaji wa madini feki katika soko.

Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara ya madini (TAMIDA) bwana  Sammy Mollel amewataka wafanyabiashara wa kati wa madini  wakafanye biashara zao katika masoko yaliyotengwa na Serikali ili kudhibiti wizi wa madini na upotevu wa kodi kwa Serikali.

Pia, ameiyomba serikali kutowazuia wafanyabiashara hao kuuza madini ndani ya Mikoa yao tu badala yake wauze hata nje ya Mikoa yao kwa kufuata sheria za masoko husika.

Katika kikao hicho Mhe. Kiruswa amezindua Katiba ya chama hicho kama ishara ya kutambulika na Serikali na kuweza kuanza kazi zao rasmi.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.