"Nitasimamia haki za watumishi katika kipindi changu cha uongozi kwa kuhakikisha stahiki zao zinapatikana kwa wakati".
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella alipokuwa akizungumza na menejimenti ya halmashauri ya Meru na Arusha.
Pia, RC Mongella alikagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo shule na Maji.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.