• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

IDADI KUBWA YA WATOTO WANASUMBULIWA NA PUMU YA MACHO NA NGOZI; INAYOTOKANA NA MATUMIZI YASIYO SHAIHI YA DAWA

Posted on: July 1st, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Daktari wa Watoto Hospitali ya Jeshi kanda ya Arusha, hospitali ya Jeshi Monduli Meja Dkt. Emmanuel Luchagula amesema kuwa, katika kambi ya Madaktari Bingwa na Mabingwa Wabobezi Arusha, iliyofanyika kwa siku 7 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jumla ya watoto 4,616 wamehudumiwa na kupatiwa matibabu, vipimo, dawa na vifaa tiba.


Meja Dkt. Luchangula amesema kuwa,  katika idadi hiyo, watoto wengi wamekutwa na changamoto ya mfumo wa hewa, pumu ya ngozi na macho  huku kundi dogo likiwa na changamoto ya mtindio wa ubongo unaotokana na uzazi pingamizi, magonjwa ambayo yanasababishwa na mifumo ya maisha na yanaweza kuepukika.


Amesema kuwa, takwimu hizo zinaonesha changamoto za kiafya ni nyingi kwa jamii, zinazotoa funzo kwa wahudumu wa afya kujitathmini na kuitathmini mifumo ya utoaji huduma za afya kwa wananchi ili kuwajengea uwezo wa kuzuia kupata magonjwa ambayo si ya lazima husuani magonjwa yasiyoambukiza.


"Mkuu wa mkoa ametupa 'challenge' watoa huduma za fay, ambapo kila siku madaktari tunatibu lakini tunajiuliza wagonjwa hawa wametoka wapi? Ni kama vile Mhe. Makonda ametupa jiwe gizani ambalo imetupa picha ya kutambua hali halisi ya namna wananchi wetu wanasumbuliwa na magonjwa huku wakishindwa kumudu gharama za matibabu " Ameweka wazi Dkt. 


 Aidha ametoa wito kwa madaktari na wahudumu wa afya kila mmoja kutumia nafasi yake katika kutatua changamoto za wagonjwa huku akisisitiza Kitengo cha Kinga Tiba, kuongeza kasi ya kutoa elimu kwa jamii juu ya utunzaji wa afya pamoja na matumizi mabaya ya dawa bila ushauri wa daktari hususani matumizi ya dawa aina ya 'antibiotic' ambayo ina madhara makubwa hususani kwa watoto.


"Wapo wazazi wenye tabia ya kuwapa dawa watoto bila ushauri wa daktrai matokeo yake zinatengeneza sumu na usugu kwa watoto, wapo wazazi wanaowaachisha watoto kunyonya katika umri mdogo jambo linalosababisha watoto kupata 'allergy' ya maziwa ya ng'ombe na maziwa 'artificial', jambo linalosababisha magonjwa ya  pumu ya ngozi na macho" Amesema Dkt. Luchangula.

May be an image of 1 person and text

May be an image of one or more people and crowd

May be a black-and-white image of one or more people and crowd

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.