Kaimu Katibu Tawala na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu mkoa wa Arusha, David Lyamongi, akizindua zoezi la Uhakiki Anwani za Makazi mkoa wa Arusha, kwenye Ukumbi wa Mikutano chuo cha St. Agastine Arusha leo Agosti 14, 2024.Zoezi la Uhakiki wa Anwani za Makazi litafanyika kwenye halmashairi sita za mkoa wa Arusha za Jiji la Arusha, halmashauri za Arusha, Longido, Monduli, Karatu na Ngorongoro
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.