Kamati ya Bajeti ya Baraza la Mapinduzi Zanzibar imewasili mkoani Arusha kwa ziara ya siku mbili ya kutembelea miradi ya maji Jiji la Arusha.
Kamati hiyo imeambatana na viongozi wakuu wa Wizara ya maji, Nishati na Madini kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Maafisa Waandamizi
Lengo la ziara hiyo ni kujifunza pamoja na kufahamu mipango inayolenga kuimarisha usimamizi, utunzaji na uendeshaji wa Rasilimali za maji na utoaji wa maji safi nam usafi wa mazingira Jiji la Arusha city council
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.