Kamati ya siasa Mkoa wa Arusha imetembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa bweni la wanafunzi na uzio shule ya sekondari Longido.
Mradi huo unagharimu fedha shilingi milioni 190, fedha za miradi ya lipa kulingana na matokeo EP4R na unatekelezwa kwa'Force Akaunti'
Aidha mradi huo ukikamilika utasaidia kuimarisha ulinzi wa wanafunzi kwenye eneo la shule sambamba na kupunguza msongamano wa wanafunzi kwwnye maeneo ya makazi na unatarajiwa kukamilika 30 Februari mwaka huu
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.