• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

KAMATI YA SIASA MKOA WA ARUSHA YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE MPYA YA MSINDI MAASAI (ENGLISH MEDIUM)

Posted on: February 26th, 2024


Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, wametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa vyumba vya madaras shule ya msingi ya mchepuo wa kiingereza Maasai, iliyopo mtaa wa Korongoni Kata ya Lemara,  Jiji la Arusha, wakati wa ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM katika sekta ya Elimu leo Februari 26, 2024


Jengo hilo lenye ghorofa mbili, likitekelezwa kwa awamu, likijumuisha ujenzi wa vyumba 16 vya madarasa na matundu 44 ya vyoo huku kila sakafu ikiwa na vyumba vinne vya madarasa na tayari sakafu ya chini imekamilika.


 Lengo la mradi ni Kuboresha miundo mbinu ya EElim kwa shule za Msingi ili kupunguza msongamano wa wanafunzi darasani katika shule zetu zinazotoa elimu kwa mfumo wa lugha ya Kingereza


Mradi huo unatekelezwa kwa kutumia mapato ya ndani ya na unategemea kugharimu shilingi milioni 760, milioni 400 ni fedha kutoka Serikali Kuu na milioni 365 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri ya Jiji.


Shule hiyo ilisajiliwa rasmi mwaka 2023 kwa namba ya usajili EM.20187ikiwa na jumla ya wanafunzi 106 kwa darasa kwanza na awali, wavulana 48 na wasichana ni 58 ambao 

wanatumia vyumba 4 vya mamadara vilivyokamilika na matundu 11 ya vyoo .


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.