Wajumbe wa Kamati ya Siasa mkoa wa Arusha, wametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Kirtalo - Soitsambu yenye urefu wa Km 9.5 inayojengwa kwa kiwango cha Changarawe inayohudumia wananchi 8,207 wa viijiji vya Soitsambu na Kirtalo kata ya Soitsambu.
Mradi huo umetekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 873.6 kwa ufadhili wa shirika KFW kwa usimamizi wa TANAPA.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.