Wajumbe wa Kamati ya Siasa mkoa wa Arusha, wametembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mradi wa Barabara ya Ormane - Olalaa yenye urefu wa Km 9.33 inayojengwa kwa kiwango cha Changarawe inayohudumia wananchi 7,024 wa kijiji cha Omanie na Olala kata ya Arash.
Mradi huo umetekelezwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 1.3, itakayowahudumia wananchi 7,024 wa vijiji vya Omanie na Olalaa kata ya Arash.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.